Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Haki ya Nani 😂😂Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa usaidizi wa viongozi wa kidini nchini Humo amegundua kwamba, kulikua na makosa kwenye tarehe yake ya kuzaliwa na kwamba, hakuzaliwa 1943 kama alivyokua akiamini bali ni 1947. Hii itamruhusu kugombea urais mwaka 2021 maana umri wake ni under 74
Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa usaidizi wa viongozi wa kidini nchini Humo amegundua kwamba, kulikua na makosa kwenye tarehe yake ya kuzaliwa na kwamba, hakuzaliwa 1943 kama alivyokua akiamini bali ni 1947. Hii itamruhusu kugombea urais mwaka 2021 maana umri wake ni under 74
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Nani 😂😂
Sana
Utuache🤣🤣Teh teh teh.
Wanaharibu tamaduni za watu katika ulaji wa baadhi ya vyakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣ukute waganda wamekubali tu😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Mh...!!!
Eti inavyoshikwa na hatimaye kumung'unywa...
Under 18 = mvua 30 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utuache[emoji1787][emoji1787]
Atapata shida atakayekuwa na kiherehere cha kuingia ndoani na mimiKwenye ndoa utapata shida sana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sent using Jamii Forums mobile app
Moud uje Dom nikufundishe namna ya kuitoboa chapati katikati🤣
Watu wamelala watashtuka🏃🤣
😂😂🙌🙌Atapata shida atakayekuwa na kiherehere cha kuingia ndoani na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app