Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Happy saturday fam
IMG_20200201_072524_596.jpeg
 
Heri ya mwezi mpya
February 1

Mwezi ukawe wa mafanikio kwenu🙏
Mkatimize ndoto zenu🙏.
Mwenyezi Mungu akabariki kazi za mikono yenu🙏
February ikawe ya baraka kwa kila mmoja wenu🙏.
Ulinzi wa Mungu ukaambatane na kila mmoja wenu🙏
Natamka baraka za Mungu juu yenu.
Akubarikini mwenyezi Mungu,Baba,Mwana na Roho mtakatifu
 
Amen
 
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Heri ya mwezi mpya
February 1

Mwezi ukawe wa mafanikio kwenu[emoji120]
Mkatimize ndoto zenu[emoji120].
Mwenyezi Mungu akabariki kazi za mikono yenu[emoji120]
February ikawe ya baraka kwa kila mmoja wenu[emoji120].
Ulinzi wa Mungu ukaambatane na kila mmoja wenu[emoji120]
Natamka baraka za Mungu juu yenu.
Akubarikini mwenyezi Mungu,Baba,Mwana na Roho mtakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom