Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heri ya mwezi mpya
February 1

Mwezi ukawe wa mafanikio kwenu🙏
Mkatimize ndoto zenu🙏.
Mwenyezi Mungu akabariki kazi za mikono yenu🙏
February ikawe ya baraka kwa kila mmoja wenu🙏.
Ulinzi wa Mungu ukaambatane na kila mmoja wenu🙏
Natamka baraka za Mungu juu yenu.
Akubarikini mwenyezi Mungu,Baba,Mwana na Roho mtakatifu
Amen
 
.
FB_IMG_1580537896272.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom