Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee..Usijali mpenzi moja ya dua zangu Ostadhi mkubalie ombi lake[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetokota
Wakuu...
Hodi kwenye uzi wenu pendwa, mimi ni mgeni naomba mnipokee.
Kwakweli sijaoa, umri wangu umezidi kidogo kwa hawa vijana wa sasa...
Napenda kupendwa maana mimi mwenyewe napenda kupenda kisukuma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaniharibia sasa, si unajua mimi na wewe hatujuani kabisa na hatujawahi kuishi pamoja huko Ikwiriri...Mkuu nakuona unamwaga uzoefu mabinti wadogoView attachment 1343767
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui wangapi kwenye uzi huu wanatamani kuonana na mimi!!
Ila Mungu ni wa ajabu sana [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1343763
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh!!Mkuu nakuona unamwaga uzoefu mabinti wadogoView attachment 1343767
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni hatutaki kupendwa ila tunataka kusikilizwa [emoji2][emoji2]View attachment 1343764
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute mimi mwenyewe na ugeni wangu humu nakutamani kukuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi humu kuna mtu anatamani kuonana na Mimi kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaniharibia sasa, si unajua mimi na wewe hatujuani kabisa na hatujawahi kuishi pamoja huko Ikwiriri...
Sent using Jamii Forums mobile app