Mungu amenihurumia
tendo hili kubwa Sana
sikustahili jambo hili
nimelipata bure tu
sasa najua haya yote
nasifu huruma yake
nalistahili kupotea,
lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha
na Yeye kwa Yesu kristo
hivi vyote vyatoka wapi
nasema Ni huruma tu
πππ
happy Sunday 2.2.2020