Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbunifu akionyesha mchoro wa jiji jipya litakalojengwa kwenye kijiji furani
FB_IMG_1580603504775.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya filimbi ya mwisho katika mchezo huo, Guardiola aliyataja majina ya wachezaji watano ambao hakika walimfurahisha kutoka kwenye kikosi cha wapinzani wake, ambao ni Victor Lindelof, Luke Shaw, Harry Maguire, Fred na Nemanja Matic.
 
Nimependa namna walivyokuwa wakicheza," alisema Guardiola.
"Old Trafford tulicheza vizuri sisi, pengine sikutarajia hivi tulivyocheza, unaweza kusema kwamba hatukuhitaji sana, lakini ukweli ni kwamba wachezaji wao walikuwa vizuri, walicheza kwa namna ile kocha wao alihitaji wacheze.
 
Pengine wanashida tu ya kucheza kwa ubora uleule kila mechi, wanashinda wanapocheza nyumbani, lakini ni timu inayocheza soka safi. Namjua Lindelof nilimwona Benfica, Luke Shaw ni mchezaji mzuri na Maguire ni mmoja kati ya mabeki bora kabisa wa kati duniani."
 
Back
Top Bottom