Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Baada ya Alhamisi kunasa huduma ya kiungo Bruno Fernandes kutoka Sporting Lisbon, Manchester United chini ya Ole Gunnar Solskjaer waliingia Ijumaa, siku iliyokuwa ya mwisho kwenye usajili kwa kazi moja tu ya kusaka straika.