Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngozi inaweza ikapoteza ulaini na unyororo halafu mng’aro pia ukapotea kwa sababu nyingi tu, ila chache kubwa ni kuishi katika maeneo yenye baridi kali, kushinda katika jua kali kwa muda mrefu kila siku, kutumia sabuni na mafuta yenye kemikali hatari, kuoga maji ya moto kila siku bila sababu za msingi, kujikuna kwa kucha mara kwa mara, kuugua maradhi mazito kwa muda mrefu, kutumia dawa kali kwa matibabu pamoja na unywaji wa pombe unaopitiliza sambamba na kuvuta sigara.
 
Ngozi kavu isiyovutia

Hata hivyo, bado kuna tatizo la ngozi kutoubana mwili na kulegea (skin firmness) ambalo huwakuta zaidi wazee na kulegea kwa ngozi huko husababisha pia makunyanzi yaani ‘Wrinkles’ ambazo huwaudhi sana bila kujua zinaweza kudhibitiwa kwa namna gani.
 
Kadiri mtu anavyozeeka, ngozi hupoteza baadhi ya seli zake kama ‘collagen’ na ‘elastin’ na hata tindikali iitwayo ‘hyaluronic acid’ pia hupungua na kuifanya ngozi ilegee na kutengeneza makunyanzi na kusinyaa kisha baadaye hupoteza hata rangi nzuri ya ujana.
 
Sasa mnakwamaga wapi?
Nyie ndiyo mnatukwamishaga. In many cases our efforts are not reciprocated. Tena wengine ndiyo anakudharau kabisa na kukuona boya. Kusema kweli hamuelewekagi na mimi naamini kuwa hata nyinyi hamjui mnachokitafuta ndiyo maana hata mkikipata mnashindwa kukitambua...

Jumapili yako ikoje?
 
Hakika, ukiongeza safari za kuoga na kupaka mafuta tu, hutakawia kujiona umebadilika kwa muda mfupi, hata wiki mbili hutofika kwa kuwa kuzeeka, kufadhaika mara kwa mara (stress) hali mbaya ya hewa na mazingira pamoja na vipodozi na sabuni zenye kemikali hatari, uharibu ngozi hasa maeneo ya usoni, shingoni na kifuani ambayo ndiyo maeneo yanayoathirika kwa haraka zaidi kuliko mengine.
 
Mmmmh..tunarisiproketi tena maradufu...
Basi tu ....Eti mnaogopa kuitwa maboya..
Muwe mna care jameni..Praoriti kwetu sio S..x

Jpili ni njema kabisa..Mungu ni mwema
 
Kuna kabila linawaweka ‘wanawali’ ndani kwa muda mfupi tu wakiwachua kwa machicha ya nazi, na mabinti hao hutoka wakiwa wamependeza na wameng’ara bila madhara na wengi wao mpaka hii leo hawajui sayansi iliyojificha nyuma ya machicha hayo ya nazi.
 
Hii ni kutokana na nazi kuwa na tindikali ziitwazo ‘MCFA’ yaani Medium Chain Fat Acids ambazo hupambana na bacteria, virusi na fangasi wote waliopo juu ya ngozi huku ikiondoa pia seli za ngozi zilizokufa na kumfanya mtu aonekane mwenye mvuto tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…