moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Joyce Kiria au mwingine?
Liver ....
Katika Injili Bwana Yesu Aliwahi kumsifia mama mjane aliyetoa senti mbili kama sadaka na kuwaponda matajiri wa Kifalsayo waliotoa maelfu. Funzo liko hapo !!!