Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mortality rate yake ni asilimia 2 tu sawa. Inaua watoto, wazee na watu ambao immune system zao ziko compromised. Andaeitini kama wewe ni mafua tu ya kawaida. No big deal.Hee hatari aiseee
Sema tu wanaogopa kwa vile hakuna tiba wala chanjo virusi hao wanaweze ku-mutate na kuwa deadlier hasa wanaposambaa katika maeneo mbalimbali duniani.