Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mortality rate yake ni asilimia 2 tu sawa. Inaua watoto, wazee na watu ambao immune system zao ziko compromised. Andaeitini kama wewe ni mafua tu ya kawaida. No big deal.Hee hatari aiseee
Mwamposa wa enzi zile [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ndiye Kibwetere aliyepata umaarufu baada kuwaingiza chaka waumini wakeView attachment 1344737
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa...Mortality rate yake ni asilimia 2 tu sawa. Inaua watoto, wazee na watu ambao immune system zao ziko compromised. Andaeitini kama wewe ni mafua tu ya kawaida. No big deal.
Sema tu wanaogopa kwa vile hakuna tiba wala chanjo virusi hao wanaweze ku-mutate na kuwa deadlier hasa wanaposambaa katika maeneo mbalimbali duniani.
Wakimalizana naye na wakapata wanachokitafuta watamtupa kama toileti pepa....Aende akawaulize akina Kuku wa Zabanga na wengineo wengi wakiwemo akina Saddam, Osama.....Hao jamaa siyo watu wazuri !!!
Joyce Kiria au mwingine?
Mwanamke wa kumsema mumewe kwenye vyombo vya habari?
CCM kunamfaa !!!