moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakimalizana naye na wakapata wanachokitafuta watamtupa kama toileti pepa....Aende akawaulize akina Kuku wa Zabanga na wengineo wengi wakiwemo akina Saddam, Osama.....Hao jamaa siyo watu wazuri !!!
Nawe pia...Nawatakia usiku mwema
Kijana mdogooo dah!