NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Kuna uzi kule watu hawataki kulamba weak points...
Kuna uzi kule watu hawataki kulamba weak points...
Huku kwema mno. Huko uliko vipi? Naona unataka kujitosa Harvard. Ukifanikiwa basi kasome Law, Public Policy au Medicine uje utuokoe.Senkyuuu...
Mambo yanaendaje lakini pande hizo? Kwema?
Wapi huko? Mbona ndiyo tekniki kubwa iliyotumiwa karibu na kila baharia aliyekula tunda kimasikhara katika ule uzi wao?[emoji16][emoji16]Kuna uzi kule watu hawataki kulamba weak points...
Kuelekea Valentine[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23]