myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hapa safi kabisa bro, sijui hapo home ubavu wetu na huyo chalii?hahahahaha, ni kweli.
Bahati wanayo LiVar aisee.Natumai kumekucha vizuri pande hizo.
Sikuiona mechi husika. Wabongo ni noma 555555Kwani ni kweli ananyimwa pass? 😂😂View attachment 1345895
Shaurilooo maana mchana kweupeeee kidogo mfilisti aibiweWewe unataka nianze kuwa mlinzi hapa aisee 😀..... TH alinitoa shaka kuwa hakuna wa kumuiba