Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ili kumpa nafasi ya kufanya vizuri kwenye tenisi familia yake ilihamia Delray Beach, Florida.
Dunia hii ni ya kupokezana ....vizazi kwa vizazi....KUNA jina jipya katika tenisi ya wanawake duniani, wakati kizazi cha kina Venus na Serena Williams kikielekea ukingoni, Coco Gauff anaibuka na kuja kwa kasi ambayo inawafanya wachambuzi wa mchezo huo kukubali kuwa ni tishio jipya.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uzi huu hauna swaga siku hizi. Ingekuwa those good ole days isingechukua raundi King angejikuta mkiwa [emoji16][emoji16][emoji16]Shaurilooo maana mchana kweupeeee kidogo mfilisti aibiwe
Mfilisti aliponea chupuchupu kwa sababu ustaadh alikuja kivingine kabisa. Na tangu wakati huo naona kubebishana na bebi wake kumepungua...Si ajabu ustaadh huko aliko bado anasoma visomo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shaurilooo maana mchana kweupeeee kidogo mfilisti aibiwe
Miaka 96 si haba. RIP Mtukufu Daniel Arap Moi. Kawasalimie akina Robert Ouko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Harufu ya lenyewe sasa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani Mfilisi nae kishapata mwenza hapa?Shaurilooo maana mchana kweupeeee kidogo mfilisti aibiwe
Wanataka muda wote Mpira apewe Samata tu..... hahah!Sikuiona mechi husika. Wabongo ni noma 555555