Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Safi sana hapo...
Miaka 96 si haba. RIP Mtukufu Daniel Arap Moi. Kawasalimie akina Robert Ouko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23] uzi umejaa burudani huuHee haujui na ndoa ya mkeka juu huku bradha akipigwa mkwara asisogee kabisa hata salamu marufuku
😀😀😀😀Kuna viumbe wana maneno mabaya kwenye daladala
bro shemeji yako anatema mate tu huku ndio maana hata jukwaani tumepoteaMfilisti aliponea chupuchupu kwa sababu ustaadh alikuja kivingine kabisa. Na tangu wakati huo naona kubebishana na bebi wake kumepungua...Si ajabu ustaadh huko aliko bado anasoma visomo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi umejaa burudani huu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna viumbe wana maneno mabaya kwenye daladala
ndoa takatifu unaita ya mkeka?Hee haujui na ndoa ya mkeka juu huku bradha akipigwa mkwara asisogee kabisa hata salamu marufuku