Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kuchapiwa napo nikupe hongera ama pole mpendwapole au hongera
Kuchapiwa napo nikupe hongera ama pole mpendwapole au hongera
Weka nasubiri 😊😊Kumbe unataka picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee sema tu niweke hapa uione
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆😆 haya ni mazao ya ile honeymoonKuchapiwa napo nikupe hongera ama pole mpendwa
Kwa jibu hili huyo ni mtu mmoja.
Kuna ule wimbo wa mwana Fa "Siku moja kabla ya harusi bibie kachepuka"😆😆😆😆😆 haya ni mazao ya ile honeymoon
Kwamba umempokonya kaka Ningendako tonge mdomoni hii haikubaliki lazima na wewe uchapiwe na Ostadh 😀😀
ha ha ha mbona amekimbia mwenyeweKwamba umempokonya kaka Ningendako tonge mdomoni hii haikubaliki lazima na wewe uchapiwe na Ostadh 😀😀
Ngoja aje mwenye mali 😀😀😀ha ha ha mbona amekimbia mwenyewe
👍👍👍Nice.....
Kila siku umekua ukifanya nibadili wallpapers kwenye devices zangu
Mfilisti aliponea chupuchupu kwa sababu ustaadh alikuja kivingine kabisa. Na tangu wakati huo naona kubebishana na bebi wake kumepungua...Si ajabu ustaadh huko aliko bado anasoma visomo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]