myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii...............
Niweke nione peke yangu kaka
😀😀😀😀Kama kuna ka ukweli maana bibie ana like tu hachatUkute ayyanna ni mkwepu jr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#polekwamfilisti
Kazana mamiii hakikisha jamaa hageuki pembeniNipo namlisha kwanza....nisije achika mapema.
😀😀😀😀 Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiii jamaa katongoza kabla hajakubaliwa keshatangaza ndoa bibie hajakaa sawa keshasingiziwa mimba. Chezea mfilisti
Yeah! It was real fast...and now the lady is preggo. I can see Maury show loading...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiii jamaa katongoza kabla hajakubaliwa keshatangaza ndoa bibie hajakaa sawa keshasingiziwa mimba. Chezea mfilisti
Mtandaoni humu everesingi izi posibo...Ukute ayyanna ni mkwepu jr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#polekwamfilisti
Huyo mwanamke anae zungumziwa hapo amewahi kubuni nini na wa zama hizi au mwanamke yupi ? Huyu anae wekwa kwenye matangazo na kuvutia biashara ? Mwanamke gani anae zungumziwa hapo ?
Nimewasikiliza NPR hapa wanamnanga eti alikuwa dikteta na aliua watu wengi sana hasa wapinzani wake. Pamoja na kuua watu mamilioni huko Iraq na Afghanistan siku akina Bush wakifa hutasikia masimango wala nini. Jamaa wana double standard ya ajabu sana.
Mwanamke anayezungumziwa hapo mfano kama mama yako.Huyo mwanamke anae zungumziwa hapo amewahi kubuni nini na wa zama hizi au mwanamke yupi ? Huyu anae wekwa kwenye matangazo na kuvutia biashara ? Mwanamke gani anae zungumziwa hapo ?
Mpendwa umeanza kuwa mkali?Mwanamke anayezungumziwa hapo mfano kama mama yako.
Naomba ugonge like ukitaka mabishano jukwaa la siasa.
Huwa sibishani.Mwanamke anayezungumziwa hapo mfano kama mama yako.
Naomba ugonge like ukitaka mabishano jukwaa la siasa.
Kipi usichokijua kuhusu mwanamke?Huwa sibishani.