Karibu sana, ila kama nia yako ni hiyo, lazima uangukie pua kijana. Takasa nia yako kwanza.Hongera aisee....
Nimeanza mchakato wa kuhamia huko ili nami angalau niweze kuvuta chuma cha pili [emoji16][emoji16][emoji16]

Namjua mimi tu, hata mwenyewe hajijui.Nani huyo?
Kumbe tuko wengi ambao hatutaki kupachikwa huu ukaka usio na kichwa wala miguu? Safi sana [emoji16]Kama hivyo ndivyo siwezi kuwa kaka yako. Bora uniite "Ostaadh".
Sasa ole wako uniite tena "kaka". Nitakutokea hapo hapo ulipo sasa hivi.
Nitaitakasa [emoji16][emoji16][emoji16]Karibu sana, ila kama nia yako ni hiyo, lazima uangukie pua kijana. Takasa nia yako kwanza.
Wewe kama sio Ostadh kipezeo sijui una elimu ya dini ila sasa (joke)Kama hivyo ndivyo siwezi kuwa kaka yako. Bora uniite "Ostaadh".
Sasa ole wako uniite tena "kaka". Nitakutokea hapo hapo ulipo sasa hivi.
Kumbe tuko wengi ambao hatutaki kupachikwa huu ukaka usio na kichwa wala miguu? Safi sana [emoji16]
Kumbe tuko wengi ambao hatutaki kupachikwa huu ukaka usio na kichwa wala miguu? Safi sana [emoji16]
Malizia ..... Kwahiyo mimi sio Ostadh sio ?Wewe kama sio Ostadh kipezeo sijui una elimu ya dini ila sasa (joke)
Nilipokea mahari mimi? Kutoka kwa nani? Lini? Wapi? Kwenye ID yako hii hii mpya au ya zamani?Ukaka kwangu bado upo, maana mahari ulipokea wewe
Poke sana, mimi kijana aisee damu inachemka ndio maana nakamatia vyuma vya pua, najaza ndani.Nitaitakasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi siyo kijana. Ni mzee kabisa aisee....
Itakuwa The Happiness 😀😀😀😀Nani huyo?
Nilipokea mahari mimi? Kutoka kwa nani? Lini? Wapi? Kwenye ID yako hii hii mpya au ya zamani?
Sio huyo, akiingia humu nitawaonyesha.Itakuwa The Happiness 😀😀😀😀
Watu tulishasukuma milango imeandikwa pull sembuse kuitwa kaka? Hawatujui vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]Wanataka tusiwatongoze. Japo seipendi kuitwa kaka ila ukiniita kaka haizuii nisikutongoze nikitaka nakutongoza tu ili ukaniite kaka vizuri.
Guu la bia. Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1313126
OstadhMalizia ..... Kwahiyo mimi sio Ostadh sio ?
😀😀😀 ndio maana nimeuliza haraka sana ili nijue kama ni yeyeItakuwa The Happiness 😀😀😀😀
Ostadh