Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika jukwaa ambalo ushabiki uko mwingi sana, jukwaa la siasa. Niliwahi kuingia siku fulani nikahoji, aisee nilichojibiwa nikaona watu wajinga kuliko ujinga mwenyewe, nikasema siingii tena kule.
Jukwaa lile halifai hasa kama hujawekeza kwenye siasa kimaslahi labda kama una ubishi wa asili na unapenda kutukanana. Kule hakuna ustaarabu wala hoja ni matusi tu mtindo mmoja.
 
Back
Top Bottom