Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nina kiwango kikubwa cha wivu uke wenza siutaki nisije ishia gerezaniMpendwa, wewe uke wenza hutaki? Hutaki ujiko wa kuwa mke mdogo wa Ostaadh? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nina kiwango kikubwa cha wivu uke wenza siutaki nisije ishia gerezaniMpendwa, wewe uke wenza hutaki? Hutaki ujiko wa kuwa mke mdogo wa Ostaadh? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Uzuri lazima uzoee, tatizo unajiendekeza na wivu. Shauri yako.Nina kiwango kikubwa cha wivu uke wenza siutaki nisije ishia gerezani
Akifika nitakutonya.Hajafika bado mtarajiwa
Siwezi kuzoea matara au uke wenzaUzuri lazima uzoee, tatizo unajiendekeza na wivu. Shauri yako.
Kwamba utaua ama?Nina kiwango kikubwa cha wivu uke wenza siutaki nisije ishia gerezani
Sahihi ni matala. Wenzako walikuwa wakorofi ila wakazoea tu huwa mpaka pressure zinawapanda, wakiangalia na kutuliza akili wanazoea.Siwezi kuzoea matara au uke wenza
Tuhangaike wote kwa pamoja. Tunaweza fanikiwa aisee...Embu niombee aisee amalizie nafasi iliyobaki.
Aisee ngoja nikomae nae tu.Tuhangaike wote kwa pamoja. Tunaweza fanikiwa aisee...
Mpendwa Hawachi pulizi malizia hiyo nafasi moja iliyobaki kwa Ostaadh [emoji1545][emoji1317]
Basi niite tu shemeji na bro Mfilisti akisafiri basi usisite kuniita nije hapo home kusaidia saidia majukumu yanayohitaji mwanaume...na kuleta baadhi ya mahitaji muhimu. Jisikie huru kabisa shemeji.
Sijui ndiye Fragaria huyu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Bhana
Hivi humu unaruhusiwa kutongoza ?
Nimekupa like, wewe si ndio mke wa mtu ?Mbona sijawahi kupata LIKE yako?
Unaanzaje kutongoza bila kutoa LIKE
Why?
You are welcome shem [emoji1545][emoji1545]Asante Bro!
Mbona sijawahi kupata LIKE yako?
Unaanzaje kutongoza bila kutoa LIKE
Ukute ayyanna ni mkwepu jr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#polekwamfilisti