Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Very strategically though...[emoji16][emoji16][emoji16]Unachochea moto[emoji3][emoji3][emoji3]
Umenidanganya mpendwa kwa nini nasubiri
Safi kabisa yule mdau wako inakuwaje ?
Hii habari anayo maana tuliacha kukutongoza kwa sababu tuliambiwa wewe ni mke wa mtu.
Oya nitakumind ujue ?
Ikitokea naweza kwa ajili ya mume wanguKwamba utaua ama?
Jizazi [emoji848][emoji848][emoji848]
Hapana, nataka tu kujua ili siku ikitokea niliunge tu bila kuwaza.Nilikuwa sijakuelewa.....nikajua waniita mke wa mtu badala ya Ayyanna.
Wewe yunataka kunitongoza?
Una uhakika au unauliza swali kutaka kujua ?Kumbe bado hujui unachokitaka?
Kosa kubwa sana hilo.Ikitokea naweza kwa ajili ya mume wangu
Ina maana mfilisti alikuwa anatufunga kamba? Kwamba si ndoa tu bali tayari eti mpaka unatema tema mate hovyo, kula udongo pamoja na maembe mabichi? Dah !!
Najua ila inapobidi sio mbayaKosa kubwa sana hilo.
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Anavyodeka sasa. mfilisti hajui kushiba akiwa anakula....anaweza lala anakula na akaamka akaendelea.
Una uhakika au unauliza swali kutaka kujua ?
Shemeji unataka hela? Nikuletee?Kaka nilikuwa sijakuelewa Zurri, nilidhani ananiita mimi mke wa mtu kama jina langu.
Leo hela ya mboga nimenunulia maembe....@mfilisti kashinda njaa
Hujajibu swali nililo kuuliza.Bila shaka ni swali
Huko kubidi kwake ndio ubaya wenyewe.Najua ila inapobidi sio mbaya