Sio😀😀😀 ndio maana nimeuliza haraka sana ili nijue kama ni yeye
Sio😀😀😀 ndio maana nimeuliza haraka sana ili nijue kama ni yeye
😃😃😃 Eti Ostaz KipozeoWewe kama sio Ostadh kipezeo sijui una elimu ya dini ila sasa (joke)
Abilia chunga mzigo wako 😀😀😀mkataze asitokee😀😀😀 ndio maana nimeuliza haraka sana ili nijue kama ni yeye
Mimi nataka tu nikamate ka chuma ka pili ka kuzeekea basi....Poke sana, mimi kijana aisee damu inachemka ndio maana nakamatia vyuma vya pua, najaza ndani.
Kwahiyo humu kila mtu ana mtuwe sio ?Abilia chunga mzigo wako 😀😀😀mkataze asitokee
Amani
NdiooooooKwahiyo humu kila mtu ana mtuwe sio ?
Shauri yako...Nimeishiwa maneno KAKA
Mpaka na wewe ?Ndioooooo
Hahah! Me najiamini sio kama MfilisiAbilia chunga mzigo wako 😀😀😀mkataze asitokee
😁😁Shauri yako...
Afadhali uniite shemeji...
... na tunakulaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tunaambiwa hata tukifa safari ndiyo kwanza inaanza...motoni ama akhera dah!!!MAISHA SAFARI
WALIOKUFA WAMEMALIZA TAYARI
Humu huwa hatutukanani. Tukitaka kutukanana tunahamia jukwaa la siasa. Tukimalizana huko tunarudi huku tena na upendo unaendelea [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo humu hata ukitukana unapewa likes sio ?
NdioooMpaka na wewe ?
Nilipokea mahari mimi? Kutoka kwa nani? Lini? Wapi? Kwenye ID yako hii hii mpya au ya zamani?
Humu huwa hatutukanani. Tukitaka kutukanana tunahamia jukwaa la siasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Daah, nilitaka...............Ndiooo