myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😬😬😬 Esta umekula bangi za wapiUkute ayyanna ni mkwepu jr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#polekwamfilisti
bro unataka vita?Basi niite tu shemeji na bro Mfilisti akisafiri basi usisite kuniita nije hapo home kusaidia saidia majukumu yanayohitaji mwanaume...na kuleta baadhi ya mahitaji muhimu. Jisikie huru kabisa shemeji.
Shemeji alikuwa mpweke sana halafu Ostaadh alikuwepo so nikaona niue soo kiaina. Bro code iko pale pale bro [emoji16][emoji16][emoji16]bro unataka vita?
ha ha ha ni kweli leo yenyewe hela ya chakula kainunulia maembe mabichi na udongoMbona inadaiwa unatema tema mate na kula udongo
Mfilisiti njoo huku
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ha ha ha ni kweli leo yenyewe hela ya chakula kainunulia maembe mabichi na udongo
[emoji23][emoji23] hata me nasikia sikia
that my broShemeji alikuwa mpweke sana halafu Ostaadh alikuwepo so nikaona niue soo kiaina. Bro code iko pale pale bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama mimi rais nakupiga marufuku kurudi ubakie huko huko uwaeleze vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]