Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini, katika mchezo huo, Dragowski alikabiliana na mikwaju miwili ya penalti kutoka kwa Ronaldo na yote aliokota mpira kwenye nyavu zake. Kwa mabao hayo Ronaldo, ambaye alimuumbua kipa huyo aliyedai amemponya amefunga mabao 19 katika mechi 19 alizocheza kwenye Serie A msimu huu.