Lakini, katika mchezo huo, Dragowski alikabiliana na mikwaju miwili ya penalti kutoka kwa Ronaldo na yote aliokota mpira kwenye nyavu zake. Kwa mabao hayo Ronaldo, ambaye alimuumbua kipa huyo aliyedai amemponya amefunga mabao 19 katika mechi 19 alizocheza kwenye Serie A msimu huu.
Bao la tatu la Juventus liliwekwa kimiani na Matthijs de Ligt alipofunga kwa kichwa baada ya mpira wa kona. Ushindi huo umewafanya Juventus kuongoza kwa tofauti ya pointi tatu dhidi ya Inter Milan inayoshika nafasi ya pili.
Nipo zangu ndani ya daladala hapa,..konda kapayuka dereva kanyaga mafuta..abiria wote wameinuka kwenye siti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Nipo zangu ndani ya daladala hapa,..konda kapayuka dereva kanyaga mafuta..abiria wote wameinuka kwenye siti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2440][emoji2440][emoji2440]