myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za jioni zinaendelea
amen ila iambatane na tunda la haki yenye kuambatana na mbegu ya uhuru usioruhusu uvunjwaji wa sheria kwa makusudiAmani itawale jioni yetu
Nini shida tena?mbaya
similiki usafiriNini shida tena?
Umetafuta picha zote za kuweka umeona hii ndio inafaa sana?happy birthday mjomba wake davet, cole williams.
ametimiza miaka 35 ya kuzaliwa.
hivi CCM wametimiza miaka mingapi siku ya leo
View attachment 1347521
Siku imeisha
hatujaziandika
Kama bado unahema na Afya ipo vizuri basi habari ni nzuri kabisa, hayo mengine yanaendelea kupambaniwa tu ni swala la muda Chief .....similiki usafiri
similiki makaazi
similiki asset kubwa yeyote....
nimenyimwa tiketi ya kugombea ubunge
nitasemaje habari zangu ni nzuri...
zipo nyingi nimeziona ila ile imenivutia zaidi...... nyengine hii imenivutia.Umetafuta picha zote za kuweka umeona hii ndio inafaa sana?