moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndioo na nyoka mpendwa [emoji41]
Kila mwenye subra hakika yupo pamoja na Allah
Hakika mpendwaKila mwenye subra hakika yupo pamoja na Allah
Salama Moud, habari za kushinda?
So lovely mumNdiyo boss
Mzima
😁😁Eee Rabbi endelea kutumia njia ndefu ya kutufikia waja wako hapa duniani ili tuendelee kuufaidi uumbaji wa Rabana kwa hawa wa ubavu wetu [emoji120]
Aisee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona mpendwa sidhani kama uliweka
Siku hizi siogopi nina rafiki yangu Mchina amenifundisha kufuga😀😀😀
Siku hizi siogopi nina rafiki yangu Mchina amenifundisha kufuga[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijaona mpendwa sidhani kama uliweka
Viumbe kama hao si wakuwaamini kuna video niliangalia Jamaa alikuwa anafanya maonyesho ya chatu kucheza nae akamuweka shingoni chatu alimnyonga kweli na mkia wake.Ukizoea kuishi na nyoka hujigeuza na kuwa marafiki wema.
Na pia ni 25% ya nyoka wote ndiyo wenye sumu.
Viumbe kama hao si wakuwaamini kuna video niliangalia Jamaa alikuwa anafanya maonyesho ya chatu kucheza nae akamuweka shingoni chatu alimnyonga kweli na mkia wake.
Kiasi nawaogopaKwahiyo bado unawaogopa?
Ila kwakweli nyoka wana maumbile ya kuogofya
Nimequote kabla picha haijafunguka. Najua umeweka joka unikome[emoji16][emoji16][emoji16]Mishil upo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1347414