Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua unaogopa majoka. Sasa kweli nitakuwekea picha ya joka kweli? Si nitakuwa katili sana jamani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimequote kabla picha haijafunguka. Najua umeweka joka unikome[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app