Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua unaogopa majoka. Sasa kweli nitakuwekea picha ya joka kweli? Si nitakuwa katili sana jamani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimequote kabla picha haijafunguka. Najua umeweka joka unikome[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee kwani watu wakorofi mimi siwajui? Nimeangalia kwa mbali mdada anapapasa jokaNajua unaogopa majoka. Sasa kweli nitakuwekea picha ya joka kweli? Si nitakuwa katili sana jamani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1347864
Mimi najaribu kukusaidia kukuondolea hiyo phobia ya kuogopa majoka. Mpaka siku moja nawe uweze kupapasa joka namna hiyo bila hofu [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wee kwani watu wakorofi mimi siwajui? Nimeangalia kwa mbali mdada anapapasa joka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najaribu kukusaidia kukuondolea hiyo phobia ya kuogopa majoka. Mpaka siku moja nawe uweze kupapasa joka namna hiyo bila hofu [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huyo ndiye dadangu pekee katika uzi huu na JF kwa ujumla...
Kwema shemeji?