Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7e5ae855-25aa-4b5b-908f-fc0fca4b3b54.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenikumbusha muvi moja ya watu wa Ghana mwanaume alijibadilisha akamfuata mkewe, baadae mwanamke nae akajibadilisha kamfuata mumewe. Kwa hiyo mke akawa anachepuka ila anachepuka na mumewe na mume nae hivyo hivyo. Ila sikuelewa kitu kimoja....hivi inawezekana vipi mtu ukalala na na mtu usigundue kuwa ni mwenza wako hata kama amejibadilisha sura? Eti wanandoa
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1349572

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom