Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Yaani wewe kufungwa kiatu tu umetamaaaniHivi Hawa wanaume bado wapo?[emoji134]
Nadhani hapa walikuwa wanacheza muvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwema bro. Kukoje huko kwako?
Siwatishi. Tunakumbushana tu [emoji16][emoji16]
Inawezekana ndio yeye huoni mambo yao yanavyofanana?
Niko mzima kabisa, naona umekomaa na jina la zamani [emoji16][emoji16]Nzuri Khantwe habari za Uzima, U hali Gani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi kugombana na mtu enzi hizo watu walisimuliana mwaka mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
sijamchunguza yule bwana hivyo basi acha niheshimu utafiti wakoInawezekana ndio yeye huoni mambo yao yanavyofanana?
Ufanye kulirudisha tu aisee.Niko mzima kabisa, naona umekomaa na jina la zamani [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
SI yeye jamanisijamchunguza yule bwana hivyo basi acha niheshimu utafiti wako
Niko mzima kabisa, naona umekomaa na jina la zamani [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bradha una fyekero jengine lenye avatar mfanano?