Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji16][emoji16][emoji16] ila mimi langu mmeshalizoea si eti??Bora hata wewe lako limekaa Muda mrefu.
Mimi hata wiki sijamaliza[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu naye boya tu. Litimu lenyewe la hovyooo [emoji36][emoji36][emoji36]
Nimemiss Sana jina langu la mwanzo[emoji1751]Dota ofu Godi mbona limeanza kushika. Liache tu tutalizoea [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaa wapi! We ni Khantwe tu hata ufanyeje. Mishil halina mkong'osio wala ladha. Kama ni nyama basi tungesema mapupu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Badilisha tu. Utaratibu si unaujua?
kuna fala fulani tokea apate CPA basi mpaka chupi yake ameiandika mr xyz CPADr Slaa afunguka
Aaa wapi! We ni Khantwe tu hata ufanyeje. Mishil halina mkong'osio wala ladha. Kama ni nyama basi tungesema mapupu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sababu si nimezitaja hapo juu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamani..jina langu kwa nini hamlipendi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata wiki haijaisha.Badilisha tu. Utaratibu si unaujua?
[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba khantwe lina ladha we ngosha hebu ongea vizuriSababu si nimezitaja hapo juu? [emoji16][emoji16][emoji16]