Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sasa unatuma bila ya kutolea unategemea nitatoa na nini[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unatuma bila ya kutolea unategemea nitatoa na nini[emoji16][emoji16]
Mmhh ndio yale kwenye kuku yanakuwaga meupe?[emoji16][emoji16]Sisi masikini tunakulaga [emoji1545]
Tunajua hata Wewe umelimiss la khantwe[emoji2]Kadri unavyoendelea kusisitiza hulipendi ndio unanipa hamu ya kuendelea kukaa nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapupu? Kwenye kuku? Jizazi [emoji85]
kama jamaa aliwatonya kuhusu virus wakampuuzia acha wale kipigo kwanza chenye kuumiza (Mungu nisamehe kwa hayo maneno machafu niliyoandika kwa sababu ya hasira za kijinga)
Mtumia iPhone humu hayupo so ai emu sefu ati listi fo nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Utafikiri imetengenezwa kwa karatasi