moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji849]
Huyu naye boya tu. Litimu lenyewe la hovyooo [emoji36][emoji36][emoji36]
Huyu naye boya tu. Litimu lenyewe la hovyooo [emoji36][emoji36][emoji36]
Kumbe walipewa tahadharikama jamaa aliwatonya kuhusu virus wakampuuzia acha wale kipigo kwanza chenye kuumiza (Mungu nisamehe kwa hayo maneno machafu niliyoandika kwa sababu ya hasira za kijinga)
haipendezi kuwadharau wataalamu wetu kwa sababu za kisiasa zenye kuambatana na ulindaji heshima ya nchi mbele ya hadhira
Sio wa kishua. Pengine kwetu hata hatuli nyama ndio maana hata sijuiMapupu? Kwenye kuku? Jizazi [emoji85]
Mapupu ni mapafu....
Wa kishua nyie msituaumbue kha [emoji16][emoji16][emoji16]
kuna fala fulani tokea apate CPA basi mpaka chupi yake ameiandika mr xyz CPA
yes kwa mujibu wa taarifa marehemu ndiye whistleblower
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niweke link kila mahaliMtumia iPhone humu hayupo so ai emu sefu ati listi fo nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Pengine ni kwa sababu imeteleza (skid) tu na haijaanguka. Imevunjika mule mule ilimounganishiwa. Na kama ni kwa ajili ya kuzeeka basi si ajabu itakuwa na 30+ jamaa wanairusha tu.Nilishangaa wanapodai wamefariki watu watatu pekee.
Ukiangalia hali ya ndege ni kama hivyoView attachment 1349738
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo bwege anatusomesha audit computerized....Usiteteseke na CPA aa watu bro[emoji23][emoji23]
Khantwe = maini
Mishil = mapupu
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]