Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dalili za ugonjwa huu ni zipi?

mara nyingi ugonjwa huu dalili zake haziji moja kwa moja na huja kwa kujificha sana bila muhusika kujua na kuja kugunduliwa kwenye hatua mbaya kabisa. moja ya dalili ni

  • kushindwa kuona mbali na pembeni
  • kua na macho mekundu
  • maumivu makali ya macho
  • kichefuchefu na kutapika
  • kuona kama mawingu mawingu
 
matibabu yakoje?

hakuna dawa ya kutibu ugonjwa huu kabisa lakini kuna dawa za kutumia kwa muda wote wa maisha yako ambazo zitakua zinapunguza presha ya macho yako yaani zile za matone mfano timolol lakini pia wakati mwingine kuna aina za upasuaji hufanyika kuweka matundu kwenye iris ili kuachia maji haya kupita na kupunguza presha.
=========================

dakika 20 zilizopita nimefanikiwa kukutana na jamaa yangu ambaye mara ya mwisho kuonana naye ni miezi mitano iliyopita (alikuwa anaona vizuri) licha ya kupatwa na ugonjwa huu lakini sikuwa natambua

leo hii nimempa mkono wangu (kumsalimia kwa kuunganisha mikono) bahati mbaya alishindwa kutambua tendo hilo mpaka alipoambiwa na mama " mtu fulani anakupa mkono"

nilidhani ananipuuzia kumbe operation ya macho imezidi kumuathiri.

upofu unamuandama akiwa bado na nguvu zinazoambatana na ari ya kuzidi kufanikiwa.
 
Ndoa...ajira au unemployment au vyote kwa pamoja
IMG-20200207-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
What did Li Wenliang do?
Dr Li, an ophthalmologist, posted his story on Weibo from a hospital bed a month after sending out his initial warning.

He had noticed seven cases of a virus that he thought looked like Sars - the virus that led to a global epidemic in 2003.

On 30 December he sent a message to fellow doctors in a chat group warning them to wear protective clothing to avoid infection.

R.I.P Li Wenliang
1581095379111.png
 
How did the last Neanderthals live?

In many ways, the last surviving Neanderthals are a mystery. But four caves in Gibraltar have given an unprecedented insight into what their lives might have been like

Forty thousand years ago in Europe, we were not the only human species alive – there were at least three others. Many of us are familiar with one of these, the Neanderthals. Distinguished by their stocky frames and heavy brows, they were remarkably like us and lived in many pockets of Europe for more than 300,000 years.
1581096105621.png
 
For the most part, Neanderthals were a resilient group. They existed for about 200,000 years longer than we modern humans (Homo sapiens) have been alive. Evidence of their existence vanishes around 28,000 years ago – giving us an estimate for when they may, finally, have died off.
 
Fossil evidence shows that, towards the end, the final few were clinging onto survival in places like Gibraltar. Findings from this British overseas territory, located at the southern tip of the Iberian peninsula, are helping us to understand more about what these last living Neanderthals were really like. And new insights reveal that they were much more like us than we once believed.
 
In recognition of this, Gibraltar received Unesco world heritage status in 2016. Of particular interest are four large caves. Three of these caves have barely been explored. But one of them, Gorham's cave, is a site of yearly excavations. "They weren't just surviving," the Gibraltar museum's director of archaeology Clive Finlayson tells me of its inhabitants.
 
Back
Top Bottom