Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1581134398704.jpeg
 
Msanii maarufu mwenye tuzo nne za Grammy Erykah Badu,48, ametangaza rasmi ujio wa manukato ‘Perfume’ yake mpya itakayonukia UKE Wake. Mpaka sasa tumejifunza kuwa jina la manukato hayo ni “Badu’s P**sy”, yatauzwa kwenye website yake kwanzia Feb 20, 2020. Erykah Badu anasema “Manukato haya yanatokana na harufu ya nguo zangu za ndani nilizochoma, mpaka majivu yametumika kutengeneza perfume hii, Nimeacha kuvaa nguo za ndani kwa muda mrefu, ilikuwa rahisi kuzitoa na kuzichoma”. Kama unataka PERFUME hii yenye harufu ya uke utaipata pekee kwenye online store yake ya Badu World Market, ambayo itafunguliwa tarehe 20 mwezi huu.
Mwenzake ametengeneza mishumaa yeye pafyumu. Ngoja tuone hii trend inakoelekea....
Screenshot_20200207-231921~2.jpeg
 
Back
Top Bottom