Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Mi mzima bradha,hofu kwako.[emoji846][emoji846][emoji846][emoji120][emoji120][emoji120]
Mzima dada yangu?
Niinhao!!
Mzima kabisa, Mungu ni mwema.
Mzima kabisa, Mungu ni mwema.
Hivi jina Stela lilitokea wapi?
#iliNisikuiteTena[emoji3]
hahahahahahaha
Itakua ni watu wa mwanitesa united kwasababu huwa unawatesa sana πππ
Ndiyo wenyewe kabisaItakua ni watu wa mwanitesa united kwasababu huwa unawatesa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha daahh nyonyoma kweli nyonyoma [emoji23][emoji23]
Uzuri yupo anaetuwakilisha kwenye ilo jimbo
Huyu lazima atakuwa anaongea na demu. Kalegeaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]