Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
kwa mujibu wa filamu ameshindwa kutimiza ahadi yake..... kilichofuata amenyang'anywa tecon M3.[emoji16][emoji16] kwa hiyo simu anunue nywila anyang'anywe...kweli wanaume wameumbwa mateso
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah BAK nae sijui yuko wapi jamanikwa mujibu wa filamu ameshindwa kutimiza ahadi yake..... kilichofuata amenyang'anywa tecon M3.
wasiwasi wangu upo kwa kamanda kutoka chato BAK
Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...kwa mujibu wa filamu ameshindwa kutimiza ahadi yake..... kilichofuata amenyang'anywa tecon M3.
wasiwasi wangu upo kwa kamanda kutoka chato BAK
We uko mpole sana sis huwezi kufufua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
Shemeji langu la nguvu, kwema?
Wamemtaja bae wako naona ushaibuka. Au ulikuwa kwenye mishe zako za kutafuta maembe mabichi?
ila BAK ni mdau wa zamani sana humu ndani tokea kuanzishwa kwa JF, inawezekanaje kukosa marafiki watakaoweza kufahamu taarifa zake.Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...
BAK ndiye mbowe