Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Afadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...Ulivyouliza swali hili nikatafakari kama mimi ninao marafiki wa aina hiyo ghafla nikamsikia mwanaJf mmoja huko nje anafokea fokea watoto [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app