Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ila BAK ni mdau wa zamani sana humu ndani tokea kuanzishwa kwa JF, inawezekanaje kukosa marafiki watakaoweza kufahamu taarifa zake.
Wewe humu una marafiki ambao leo hii ukipaliwa na urojo wa moto ukakata roho watakuja kuleta taarifa?

Wanaharakati wa waziwazi wapo akina Saanane, Yeriko, Malisa, Capital wetu na wengine wachache na hawa wanapiga uanaharakati wa hoja siyo wa matusi na kutumia nguvu. Kwa nature ya uanaharakati wake sidhani kama alikuwa ana uhuru wa kujulikana na watu hovyo hovyo !!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
2.23913082428281933E18.jpeg
 
maswali ya kichochezi yanazidi kutamalaki ndani ya JF

Wewe humu una marafiki ambao leo hii ukipaliwa na urojo wa moto ukakata roho watakuja kuleta taarifa?

Wanaharakati wa waziwazi wapo akina Saanane, Yeriko, Malisa, Capital wetu na wengine wachache na hawa wanapiga uanaharakati wa hoja siyo wa matusi na kutumia nguvu. Kwa nature ya uanaharakati wake sidhani kama alikuwa ana uhuru wa kujulikana na watu hovyo hovyo !!!
Ulivyouliza swali hili nikatafakari kama mimi ninao marafiki wa aina hiyo ghafla nikamsikia mwanaJf mmoja huko nje anafokea fokea watoto [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom