danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Heshima yenu wakuu, kweli vita ya likes haijawahi kumuacha mwana jf salama
Ye anakoga mi napakua makinikiaSio rahisi kihivyo yupo anakoga sahv
LikesLike
Likes zingekuwa hela ningekimbia kwa Mangi nifanye maarifa!Tungekuwa tunajenga viwanda kwa style hii
Jisikie upo getoni kabisa
TrueUkitegemea cha jirani, utakufa maskini.
zangu zinaenda slow sana....!! Ngoja niwaporomoshee....Comment tupate sehemu ya kulike
Kunywa likes kwanzaNaombeni maji ya kunywa
Uwahi ili nikufungie ndani kabisaMimi nakuja na nyengo kabisa
Gandisha mzee baba nikanywe maji kwanzaTupumzike kwanza wazee