Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ushindi wa jana wa mabao 4-2 dhidi ya watani wao wa jadi AC Milan umeifanya timu hiyo kucheza mechi 16 bila kupoteza.
Imenivuta hiyo picha tu yani... app hupreview picha ya mwisho kwenye thread
Hatari sana[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1353249
Someone should please fall in love with me. I will pay [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app