Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Lakini si umeweka ili tuone? Ndio maana nimesema nimeacha mimi kwenda kwa sababu siwezi kuwapangia ningekuwa naweza kuwapangia ningekuwa naenda kuwapangiaSelfie yangu kwa nini unipangie
Why ulifuta mpendwa hebu iweke ile pichaHahah! Umetia watu hasira ujue
Khantwe dear yaishe nitakapo weka tena sitafuta😍😍Lakini si umeweka ili tuone? Ndio maana nimesema nimeacha mimi kwenda kwa sababu siwezi kuwapangia ningekuwa naweza kuwapangia ningekuwa naenda kuwapangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheh!!! Picha ufute wewe alafu niiweke mimi tena?Why ulifuta mpendwa hebu iweke ile picha
Kwa kweli ngoja nifunike kombeHeheh!!! Picha ufute wewe alafu niiweke mimi tena?
Lakini siulishairudisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh!!! Picha ufute wewe alafu niiweke mimi tena?
Lakini siulishairudisha
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....Lakini si umeweka ili tuone? Ndio maana nimesema nimeacha mimi kwenda kwa sababu siwezi kuwapangia ningekuwa naweza kuwapangia ningekuwa naenda kuwapangia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] we futa tu siwezi kukupangia kwenye picha yako mwenyeweKhantwe dear yaishe nitakapo weka tena sitafuta[emoji7][emoji7]
Gonga likes za kutosha tu kamanda. Kuweka picha utajifunza pole pole [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeshindwa namna ya kuweka picha..msaada plz
Gonga likes za kutosha tu kamanda. Kuweka picha utajifunza pole pole [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591]Unatumia app au browser?
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....
Mnaotumia browser leteni maelekezo jinsi ya kuattach picha please....Natumia browser
🤔🤔Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....