Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Burudani za usiku zinaendelea
Selfie yangu kwa nini unipangieMimi ndio maana niliacha hata kwenda ule uzi wao wa selfie, mtu anaweka picha na kutoa fasta sa kama hukutaka tuone si ungekaa nayo eboo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimtaja mtu jina hata kama hujamtag anaweza akajua kama anataka. Kwa mpenda umbea kama huyo jamaa wala haishangazi.hii imewezekanaje?
tuseme huyu mdau alifukua makaburi ya jana jioni?
au humu ndani kuna jasusi uchwara?
View attachment 1353766
Hii kauli.....duh
Hata mimi nilijiuliza hili swali maana jamaa yeye kwenye nyuzi za umbeahii imewezekanaje?
tuseme huyu mdau alifukua makaburi ya jana jioni?
au humu ndani kuna jasusi uchwara?
View attachment 1353766
ok, unatumia ujanja gani au ni lazima uwe unatumia JF application?Ukimtaja mtu jina hata kama hujamtag anaweza akajua kama anataka. Kwa mpenda umbea kama huyo jamaa wala haishangazi.