Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nimechelewa nimekuta ishaondolewa dah!

Hakuna kitu kinachoniudhigi kama mtu kuweka picha halafu anaitoa tena fasta? Sasa uliiweka ya nini kama haipaswi kuonwa?
Mimi ndio maana niliacha hata kwenda ule uzi wao wa selfie, mtu anaweka picha na kutoa fasta sa kama hukutaka tuone si ungekaa nayo eboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa umefuta picha kweli ata mimi sioni tena 😂😂😂
Aisee kweli nimekumbuka ni hii
2207631_FB_IMG_15732251665132093.jpeg
 
Kuna jamaa alimfungulia uzi majuzi hapa eti alishaRIP tangu mwaka jana. Uzi ulifutwa...

Naamini yupo zake Dubai au Masaki Peninsula anakula maisha
Ina maana aliyefuta huo uzi anajua mahali alipo au aliyetoa huo uzi hakuwa na uhakika na habari yake.
Nijuavyo kufa ni faradhi kwa kila binadamu, cha msingi unapotoa habari ya aina hiyo ni vema uwe na ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom