Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1581325695418.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOUIS CHEVROLET MBUNIFU WA MAGARI NA UTAJIRI WA MAKABURI.
__________________
Francis Daudi

Nilipata kusoma sehemu kwamba, Makaburi ni sehemu yenye utajiri zaidi. Kule kuna Viwanda ambavyo havikujengwa, Biashara ambazo hazikuanzishwa, Mashamba ambayo hayakulimwa, Safari ambazo hazikufanyika, Vitabu ambavyo havikuandikwa na Mafanikio mengi tu yaliyojaa.

Kwanini? Kwa sababu waliolala hawakuvifanya, Wamelala na mawazo, malengo na fikra zao!
 
Back
Top Bottom