Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asili yangu ni Nigeria kuliko Marekani” Lil Wayne. Rapa na raia wa Marekani Lil Wayne amekonga nyoyo za raia wa Nigeria baada ya kutangaza kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa vina saba amebaini rasmi kuwa asilimia 53 ya asili yake ni Nigeria. Hivi sasa raia wengi hasa wa mataifa ya ughaibuni wamekuwa wakipima kipimo hicho maalumu ili kujua asili zao. Je ushawahi kufikiria kuwa huenda asilimia kubwa ya asilia yako si ile unayo itambua? Na je upo tayari kufanya kipimo cha vina saba ili kutambua asili yako?
 
jamaa alimezwa na jongoo anamsingizia chatoooo
 
mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.

akapewa kitanda alale cha ajabu akajikunyata kama mgonjwa wa malaria...
west ham wakamkataa
View attachment 1352396

huyu fala aliyachezea maisha
Ngasa hakua na akili za maendeleo,mawazo yake yalikua kupata hela za haraka akamilishe idadi ya wake wanne.
 
jamaa alimezwa na jongoo anamsingizia chatoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo alichezea sana maisha yake, huwezi kuamini kama ni mtoto wa baba aliyesakata soka la ufanisi ndani ya nchi hii
mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.

akapewa kitanda alale cha ajabu akajikunyata kama mgonjwa wa malaria...
west ham wakamkataa
View attachment 1352396

huyu fala aliyachezea maisha
 
waimbaji nyimbo za msiba tutakuleteaaa

marehemuuuu alipenda likes
tiriririririr

marehemu alipenda ligiiii
tiririririrrr

marehemu alipenda kichambo
tiriririririrrrrrriii

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji443][emoji443]Marehemu alikuwa rolo modo mzuri tiriririririr

Marehemu alikuwa anonimazi foreva tiriririririr

Marehemu alikataa kwenda kumuona The Don Gold Crest tiriririririr

Marehemu alikuwa hazoeleki tiriririririr [emoji443][emoji443]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
marehemu alikuwa ni rafiki mzuri wa bibi hansi mtanashati
waitikiaji kiitikio :mhhhhhhhhh beti imekosewaaaaa
 
Sergio Ramos, Centre-Back
90 goals across all competitions for Real Madrid
1581266368999.png
 
Back
Top Bottom