Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Sijambo, habari yako?Hujambo bibie
ningendako ✋✋❤😀😀💃Uzuri yupo anaetuwakilisha kwenye ilo jimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yupo hance mtanashati na bushmammy
Niko njema, karibu tembere 🤣hahahahahaha
Mzima Depal?
Jumapili inasemaje
Manchester City vs Westham has been cancelled due to weather
Sijambo, habari yako?
tulia wewe sisi ndo wataalambwana harusi mfilisti inaonekana hii ndoa imekufilisi....
munaingia ndani ya uzi huu kwa zamu wewe na mama watoto wako
hahahhaaaaaaaaa pole sanaaaaa
chezea ndoa
unafunga ndoa huku una hakiba ya suruali kama muhindi
jinga sana weweeeee
bwana harusi mfilisti inaonekana hii ndoa imekufilisi....
munaingia ndani ya uzi huu kwa zamu wewe na mama watoto wako
hahahhaaaaaaaaa pole sanaaaaa
chezea ndoa
unafunga ndoa huku una hakiba ya suruali kama muhindi
jinga sana weweeeee
huyu mpemba akishiba urojo anakua na matatizo ya akiliKaka mimi mzima...sijui wewe.
Yaani leo niko na mizeituni ya kijani....
unajua nina nywila yake, kwahiyo napata notifikesheni.
mfilisti mpenzi ukimaliza kula uje kujibu maswali huku.
Kuna siku nimeona mnabishana Kwenye ule Uzi wa kushuhudia nguvu za Giza[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanakurupukiaga ligi zangu kale nikakapa makavu kule tamu za nymbie kakataka kuleta shobo hadi uzi wa gizaKuna siku nimeona mnabishana Kwenye ule Uzi wa kushuhudia nguvu za Giza[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishangaa Uzi umevamiwa badala ya kutoa shuhuda mtu anampiga madongo mtu[emoji1787]Kanakurupukiaga ligi zangu kale nikakapa makavu kule tamu za nymbie kakataka kuleta shobo hadi uzi wa giza