Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo pia linazidi kuniongezea shaka.
Maana kwa vyovyote marafiki zake waliopo ughaibuni lazima wajue chochote kilichompata.
Nadhani yupo salama huko aliko.
Mkuu BAK jitokeze ututoe mashaka
ila BAK ni mdau wa zamani sana humu ndani tokea kuanzishwa kwa JF, inawezekanaje kukosa marafiki watakaoweza kufahamu taarifa zake.
 
Lake Manyara
FB_IMG_1545462094482.jpeg
 
Mimi nashukuru ninaye/ninao ndugu wa damu wanajua I'd yangu ingawa hawajui kama nimeweka kambi kwenye uzi huu, maana hawafiki huku.
Kuna siku niliwasikia wakiuponda uzi huu tukiwa kwenye vikao vya familia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaishia kucheka tu[emoji23][emoji23]
Afadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...
 
Mimi nashukuru ninaye/ninao ndugu wa damu wanajua I'd yangu ingawa hawajui kama nimeweka kambi kwenye uzi huu, maana hawafiki huku.
Kuna siku niliwasikia wakiuponda uzi huu tukiwa kwenye vikao vya familia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaishia kucheka tu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa walikufanyia makusudi....
huenda wanakufahamu

hahahahahaaaaaaaaaa
 
Siasa za huko zina vishindo vikubwa, lakini mwisho wa uchaguzi mshindi anabaki wa chama kile kile hata inyeshe mvua ya masika au litoke jua lote la kiangazi.
Endeleeni na siasa.

nimekumbuka kipindi cha mchakato wa katiba tume ya warioba walipokuja zanzibar mchakato mzima uliingiliwa na wanasiasa (CCM na CUF)

kila chama kilikuwa kinatafuta vijana watakaoweza kuzungumza mbele ya hadhira (unahakikishiwa chakula na hela ya matumizi kwa upande wa chama cha -------)

kuna baadhi ya maeneo tume ilishindwa kukusanya maoni ya wananchi kutokana na vurugu..
kila chama kilihitaji wazungumzaji wao wakae mstari wa mbele...


akisimama ccm: tunataka serikali mbili kuelekea moja
akisimama cuf: muungano wa mkataba

mpaka wakusanyaji maoni wakawa wanashangaa " hivi hawa wahuni hawana mahitaji mengineo kwenye katiba pendekezwa"

welcome to zanzibar jamani

muda wa siasa unakaribia
ukichanga vyema karata zako utapiga hela
ukijitia wehu utapigwa mpaka uchakae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashukuru ninaye/ninao ndugu wa damu wanajua I'd yangu ingawa hawajui kama nimeweka kambi kwenye uzi huu, maana hawafiki huku.
Kuna siku niliwasikia wakiuponda uzi huu tukiwa kwenye vikao vya familia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaishia kucheka tu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishalia
 
Mabawa madogo hayakuzuii kupaa” Waweza kuwa katikahali ngumu kwa sasa ama mambo yako hayaendi lakini ukiwa mtazamo chanya juu ya yanayojiri kwenye maisha yako lazima utapaa tu na kusonga mbele. Tunakutakia jioni njema
mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.

akapewa kitanda alale cha ajabu akajikunyata kama mgonjwa wa malaria...
west ham wakamkataa
1581264818708.png


huyu fala aliyachezea maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishalia
waimbaji nyimbo za msiba tutakuleteaaa

marehemuuuu alipenda likes
tiriririririr

marehemu alipenda ligiiii
tiririririrrr

marehemu alipenda kichambo
tiriririririrrrrrriii
 
Back
Top Bottom